Monday, July 14, 2014

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA WILAYA YA LUSHOTO - TANGA

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA ILIVYOFANA WILAYA YA LUSHOTO JUNI 16, 2014

Siku ya Mtoto wa Afrika katika Wilaya Lushoto ilifanyika katika shule ya wasioona Irente ambayo ipo kata ya Lushoto na tarafa ya Luhoto. Mgeni Rasmi alikuwa DAS Lushoto ambaye alimwakilisha Mh. Mkuu wa Wilaya kwa siku hiyo. Ukweli siku hiyo ilipambwa na watoto wengi wa shule mbalimbali ambazo ziliandaa mashairi, ngonjera, nyimbo, maigizo, risala na ngoma. Kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa ELIMU BORA ISIYO NA VIKWAZO NI KAHI YA KILA MTOTO. Hebu fuatana nami kujua kilichojiri siku hiyo katika PICHA.






Wanafunzi wa shule ya msingi Yoghoi wakiwasili



Wanafunzi wa Yoghoi wakiwasili

Wanafunzi wakisoma maandishi mguso (Braille)

Mgeni Rasmi akiangalia vifaa vya wanafunzi wenye uoni hafifu ambavyo vina kioo kuuza. Kazi kubwa ya vifaa hivi ni  kuuza maandishi madogo na kuwa makubwa kwa mtumiaji


Mgeni Rasmi akiangalia zulia la mlangoni ilitengenezwa shule ya wasioona Irente
Hawa ni wanachuo cha malezi bora na makuzi ya watoto wakiwa na mtoto mmojawapo ambaye ni yatima na analelewa katika kituo cha watoto yatima Irente


















Afisa Maendeleo ya Jamii alifafanua jambo wakati wa maadhinisho ya Siku ya mtoto wa Afrika






































No comments :

Post a Comment