Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya
mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu Ajira mpya mwaka 2014 baada
ya kupokea na kuchambua maombi mbalimbali kutoka kwa walimu
walioomba kubadilishiwa vituo.
Hivyo walimu wote walioomba kubadilishiwa vituo lakini majina yao hayapo katika orodha hii kwa ngazi zote watambue kuwa maombi yao hayakukubaliwa na hivyo wanatakiwa kwenda kuripoti katika vituo
walivyopangiwa kwa mujibu wa tangazo la tarehe 15/03/2014.
Inasisitizwa kuwa tarehe ya mwisho ya kuripoti ni 10/04/2014 na ambaye
hataripoti mpaka tarehe hiyo atakuwa amepoteza nafasi ya ajira.
Hakutakuwa na mabadiliko mengine tena.
Fungua hapa chini kuona majina ya walimu waliokubaliwa kubadilishiwa vituo vya kazi.
No comments:
Post a Comment