Tuesday, April 22, 2014

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU


Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itadahili wanafunzi wa Cheti na Stashahada ya Ualimu kwa mwaka wa mafunzo 2014/2015. Kwa upande wa cheti itadahili wanafunzi wenye ufaulu wa daraja la kwanza hadi la tatu wenye ufalulu wa alama 26 na 27 (2004 hadi 2012) na alama 32 - 34 kwa waliohitimu mwaka 2013.

Kwa maelezo zaidi fungua hapa chini.
  TANGAZO LA MAFUNZO YA UALIMU CHETI - 2014 (155.56 kB)
 TANGAZO LA MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA - 2014 (225.17 kB)
 

No comments :

Post a Comment