Monday, January 5, 2015

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AAPISHWA LEO NA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE


1fggbb
Hapa anakula kiapo cha uaminifu na uwajibikaji
2

Mwanasheria Mkuu Mpya wa Serikali Mh.George Mcheche Masaju akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam January 05, 2014 
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.

KUONA PICHA ZAIDI POFYA HAPA CHINI


5
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wa ngazi za juu.
6
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wakuu wa Ulinzi na usalama.
8B
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi Tume ya Sheria.
8
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wenzake.

No comments :

Post a Comment