Friday, September 5, 2014

WIMBO ULIOWAGUSA WENGI SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Siku ya maadhimisho ya mtoto wa Afrika illiyofanyika tarehe 16.6.2014 yalifaana sana. Katika maadhimisho hayo nyimbo mbalimbali ziliimbwa na hapo juu ni wimbo uliooimbwa na wanafunzi wasioona Irente iliyopo wilaya ya Lushoto.

No comments :

Post a Comment