HAPA KAZI TU
Sunday, April 13, 2014
Mbuga za wanyama Tanzania
Huo ndio utajiri tuliokuwa nao. Swali langu kwako ni Mbuga ipi kati ya hizo zilioneshwa hapo kwenye ramani ulishawahi kutembelea? Kuuza uchumi wa nchi yako kwa kutembelea vivutio hivyo gharama za mzawa ni nafuu zaidi. Kazi kwako mtanzania mwenzangu.
No comments :
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments ( Atom )
No comments :
Post a Comment