Tuesday, April 1, 2014

KUTOKA MAKAO MAKUU YA NCHI

Suala la Muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni gumzo kila kukicha ndani ya Bunge  maalum na nje ya Bunge. Wapo watu wanaolalamikiwa na baadhi yao kuwa ni vigeugeu (Kinyonga) kutokana na kauli zao kuhusu Muuungano

Tazama video fupi ya dakika 4:39
  Bungeni jana [VIDEO]

No comments :

Post a Comment