www.fahamuhaya.blogspot.com
Rais Obama akizungumza kwenye mkutano wa biashara kati ya Marekani na Afrika huko New York, Sept. 21, 2016.
Huku kukiwa na migogoro, umaskini na magonjwa barani Afrika, Rais wa
Marekani Barack Obama alisema njia pana kwa bara hilo haijakosewa. Bara
la Afrika linapiga hatua.
Kwenye mkutano wa biashara kati ya Marekani na bara la Afrika huko New York, Obama alisema Afrika ni makazi ya uchumi unaokuwa haraka duniani na daraja la kati linatarajiwa kukua kwa zaidi ya wateja bilioni moja. Kampuni za mawasiliano Afrika na zinaendeshwa na vijana wadogo duniani.
Mmojawapo wa vijana hao wa kiafrika, Fraances Udukwu kutoka Nigeria aliiambia Sauti ya Amerika-VOA kile anachotumaini kuelezea wakati wa muda wake wa kushikilia taji kwa mwaka mmoja la Miss Africa USA, mbali ya kutangaza urembo, kipaji na uwezo wa wanawake wa Afrika katika Diaspora, alisema kwamba anaona Miss Africa USA kama fursa ya kuelezea mahala alipotoka, ambapo ni makazi ya bara la Afrika. Lakini pia kuheshimu mahala ninapoishi ambapo ni hapa nchini Marekani.
Udukwu anasoma chuo kikuu cha Temple huko Philadelphia katika masomo ya afya ya jamii. Akiwa na umri wa miaka 26 hivi karibuni alianzisha shirika lisilo la kiserikali la The Lead Girl Foundation, ili kuwasaidia wasichana na wanawake vijana kujiendeleza kimaisha kupitia ujasiriamali na mafunzo ya ufundi.

No comments :
Post a Comment