Sunday, July 12, 2015

MAGUFULI MGOMBEA RASMI WA URAIS KWA TIKETI YA CCM, AMTEUA SAMIAH SULUHU KUWA MGOMBEA MWENZA WAKE

www.fahamuhaya.blogspot.com



















Mwenyekiti wa CCM, Rais Jaaya Kikwete akionyesha kuwa mwenye furaha isiyo kifani baada ya Dk. John Magufui (kulia)  kutangazwa kuwa mshindi, na hivyo kupata ridhaa ya kupeperisha bendera ya CCM kaika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha jukwaani, Mke wa Dk. John Magufuli, Mama Janeth Magufuli
"Hili jembe" akisema Rais Kikwete wakati akiwa na Dk. John Maguli na Mama Janeth Magufuli baada ya matokeo ya uchaguzi wa kumpata mgombea wa CCM yaliyotangazwa na Spika wa Bunge Mama Anna Makinda leo mjini Dodoma

Rais Kikwete akionyesha zaidi furaha yake
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa na Mama Janeth Magufuli, huku Rais Kikwete akiendelea kufurahi


 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpongeza Dk. Magufuli




No comments :

Post a Comment